Saturday, May 11, 2013
Thursday, May 2, 2013
Sunday, April 14, 2013
shangwemoro entertainment: ikawa usiku, ikawa mchana, mtoto akazaliwa, masaa ...
shangwemoro entertainment: ikawa usiku, ikawa mchana, mtoto akazaliwa, masaa ...: mzaliwa akiwa na mdogo wake pamoja na rafiki Bro!! mzaliwa akiwa na bestiye wake.... mzaliwa akiwa na mmoja wa madocta Tanzania ...
ikawa usiku, ikawa mchana, mtoto akazaliwa, masaa yakapita siku zika enda na miaka nayo ikaongezeka........ na leo tena ni moja kati ya siku zake muhimu katika maisha yake..... kwani ni siku ambayo anatoka mwaka mmoja kwenda mwingine (birthday) tunaye mzungumzia hapa ni binti ambaye leo hii ameongeza mwaka.... katika picha hizi kuna picha ya binti iliyojirudia sana iyangalie vizuri uone ni nani huyo......
|
mzaliwa akiwa na mdogo wake pamoja na rafiki Bro!! |
mzaliwa akiwa na bestiye wake.... |
mzaliwa akiwa na mmoja wa madocta Tanzania |
wazazi wapendwa wa mzaliwa.... |
je, Mzaliwa anaitwa nani????
na Ameongeza mwaka wangapi?????
zawadi ya siri itatolewa kwa atakayejibu swali kwa usahii....
Subscribe to:
Posts (Atom)