Translate

Sunday, April 14, 2013

ikawa usiku, ikawa mchana, mtoto akazaliwa, masaa yakapita siku zika enda na miaka nayo ikaongezeka........ na leo tena ni moja kati ya siku zake muhimu katika maisha yake..... kwani ni siku ambayo anatoka mwaka mmoja kwenda mwingine (birthday) tunaye mzungumzia hapa ni binti ambaye leo hii ameongeza mwaka.... katika picha hizi kuna picha ya binti iliyojirudia sana iyangalie vizuri uone ni nani huyo......



mzaliwa akiwa na mdogo wake pamoja na rafiki Bro!!
mzaliwa akiwa na bestiye wake.... 

mzaliwa akiwa na mmoja wa madocta Tanzania



wazazi wapendwa wa mzaliwa....
chemsha Bongo.....
je, Mzaliwa anaitwa nani????
na Ameongeza mwaka wangapi?????
zawadi ya siri itatolewa kwa atakayejibu swali kwa usahii....

No comments:

Post a Comment