Translate

Tuesday, April 9, 2013

Morogoro School of Journalism, mahafali ya 16, mwaka 2013

wahitimu wa Certificate in Journalim and Masscommunication-2013

Mheshimiwa Makala, Naibu Waziri wa Habari na Michezo Tanzania, (mwenye joho la rangi ya bendera ya TZ, kushoto) na Mkuu wa Chuo cha MSJ, Mr. Nongwe (anayefuata, mwenye joho la rangi ya bendera ya TZ) na mwisho kulia mwenye Joho, ni makamu wa Raisi wa chuo cha MSJ, wakiwa wanaonesha furaha yao na wahitimu kwa kucheza kwaito siku ya mahafali-2013.

wahitimu wa Diploma ya Journalism and Masscommunication MSJ-2013

mheshimiwa Waziri wa habari MSJ,(kushoto) akipeana mkono na Waziri wa habari Tz

waziri wa habari MSJ (kushoto) akijibu maswali kutoka kwa Mc Natalisi Natalisi Mpogolo-2013

baadhi ya viongozi wa serikali ya MSJ (MOSJONSO) wakipata picha ya pamoja na Mh. Makala na viongozi wengine.

John Minja the Blogger Designer (kushoto) Mh. Makala (katikati) Mkurugenzi wa School of Journalism (anaefuata) na misho (kulia) ni Mwl.wa Computer-MSJ, Mwl.Dalali 

muhitimu wa Diploma Mr. Silvano, akionesha vyeti vyake vitatu, cheti cha Researcher bora, Uongozi na cha kuhitimu Diploma ya Journalism-2013

hata video nazo zilikuwepo kama unavyoona halihalisi ndani ya tukio...2013

No comments:

Post a Comment