Translate

Thursday, April 11, 2013

safari ya kitali katika hifadhi ya ziwa manyara-mtowambu, ambapo ndipo kwetu mimi, na walionikodisha kwa ajili ya kupiga picha walipata fursa na bahati ya kufika hadi kwetu nakufahamu baadhi ya ndugu zangu akiwemo bibbi, dada, kaka, dada, wadogo, baba na mama yangu.... ilikuwa ni zaidi ya furaha ya pekeeemie ,

Bro. wangu mkubwa Mr. Exaudy

miye (kushoto), dada yangu (katikati) na mama yangu mzazi (mwisho)

bibi akitupa baraka mimi na dada yangu

buroooo huyoooo

twajiandaaa kuingia ndani ya hifadhi.....

kwa wachache waliofika hifadhi ya manyara watapajua hapa.... ni nje ya hifadhi


baaadhi ya waliokuwepo...

bakground halisi ya bonde la ufa...

kwa waliosoma miaka ya kuanzia 95 mpaka 2000, wataikumbuka picha hii ipo kwenye atlasi... nami nilijaribu kupiga kama ile..... comment nimepatia au???

pia Mr. amani the video editor and shuter nae alikuwepo...

wasaaaaa wa kwaitooo...

kwa tuliojikuta twaipenda TZ, tukatengeneza mapozi yetu.....

ukweli tulishangaaa sana kuona mbwa na paka kukaa pamoja tena kirafiki.... ajabu!!!!

ndipo nilipopatia elimu ya msingi na mpaka leo bado ipo...

na hiyo ndiyo kengele ya tokea mwanzo wa shule hadi leo....

Add caption



mie na dogo langu Eliya...

kukopi na kupesti..... mie na my dady... pamoja na dada yangu wa ukwe'eeeehh Vidaeli

dada mercerian

Arusha baridiiii.....

pia nalipata jioni ya furaha ya kuka na baba pamoja na wadogo zangu Vidael na God...

nlikutana na Mr. Presidaaaa... Emmanuel a.k.a. Manu


No comments:

Post a Comment