
huduma hii,hutolewa kwa mifumo miwili
- kupiga picha na kusafisha kabisa.
- kupiga picha kwa makubaliano ya kununua softycopy, bila kusafishwa.
OFA KATIKA HUDUMA HII;
- picha za kusafishwa kuanzia 50, utawekewa kwenye album BURE!
- picha zilizosafishwa utazipata pia katika mfumo wa CD,(softycopy) BURE!!!
- asilimia kumi (10%) ya kazi kwa atakaye leta kazi kwetu.
- kupata picha bora zaidi ya ulivyotarajia kabla
CHUMBA CHA MAELEWANO KIPO KWAAJILI YAKO
...................WOTE MNAKARIBISHWA.......
No comments:
Post a Comment