HUDUMA YA PICHA ZA MGANDO
Furahia huduma bora na yenye kukutimizia malengo na
matarajio uliyoyatarajia.
Tuna mifumo ya
aina mbili katika kuendesha huduma hii ya upigaji picha,
1)
Mfumo wa kupiga picha na
kusafisha (hardcopy);
Tsh. 1000/= 1@ size(5x7)
Na utapata ofa zifuatazo…
·
-punguzo la 10%. Kuanzi picha 100,
·
-kuwekewa picha zako kwenye CD bure!
·
-kuwekewa picha kwenye album bure!
2) Mfumo wa kupiga picha bila kusafisha(softycopy);
Tsh. 400/= 1@(softy),
Na utapata
ofa zifuatazo…
·
-picha zaidi ya 50 utapata punguzo la 10%
·
-kuwekewa picha kwenye CD au DVD
bure!
Huduma hii
ni kwa wale wenye makusudio yao maalumu, hivyo picha
zitapigwa na kuwekewa kwenye CD au DVD pasipo kusafishwa.
NB; Epukana na makanjanja!!!
fanya buking mapema uwe na uhakika wa huduma
unayoitarajia!!!
CONTACTS:
E-mail; se_moro@yahoo.com
Cellphones; +255 712 479 905 / +255 683 611 873
/ +255 766 129 711
No comments:
Post a Comment