jaribu kuangalia kwa umakini kwani kila picha hapa ina ujumbe maalumu......
katika picha zooote hizi, hebu sema ni picha ipi au zipi ambazo au ambayo umeona na ikakugusa au zikakugusa na umejifunza nini kupitia picha hiyo au hizo...... just one comments... if possible
mimi binafsi nimejifunza kwa picha ya kwanza..... mtoto uleavyo ndivyo akuavyo. Eg; Uhuru kenyata (Rais mpya wa kenya)
ReplyDelete