Translate

Tuesday, April 9, 2013



HUDUMA YA AUDIO RECORDING
Shangwemoro Entertainment iliamua kuanzisha na kutoa huduma hii kutokana na mahitaji ya kumbukumbu yasiyokuwa na ulazima wa kuwepo kwa video! Pia kuwezesha kusamabaza mafundisho au  kile kilichojadiliwa au kufundishwa kwa njia ya sauti, tofauti na zamani kwa njia ya maandishi pekee yake.
Huduma ni kwa kurekodi sauti peke yake, na na kukabidhi master siku hiyohiyo kulingana na mahitaji ya mteja, na tunatoa huduma hii, katika semina, vikao, mikutano, warsha, mafundisho maalumu, mahubiri, na matukio mengine  mbalimbali katika jamii.

GHARAMA ZETU.

1)      MASTER
·         Utapata master moja ya kipindi au mkusanyiko  wa vipindi vya siku nzima kwa Tsh.50,000/=
Itajumlisha gharama za cover na stika maalumu ya tukio husika.

2)      DUPLICATE
·         Duplicating itagharimu Tsh.3000/= ikiwa na cover na stika maalum ya tukio husika,
·         na Tsh.2000/= bila cover wala stika.
·          Huduma hii ya duplicate ni tofauti na master, na huwezi kufanya duplicate bila kununua master kwanza.

AINA YA HUDUMA
MUDA
GHARAMA
OFA
Maste  1@CD
Siku moja
Tsh.50,000/=
Cover lenye stika maalumu ya tukio bure!!




Doublicate 1@, CD + cover

Siku moja
Tsh.3,000/=
Cover lenye stika maalumu ya tukio bure!!




doublicate 1@,CD - cover
Siku moja
Tsh.2000/=
Haina cover wala stika maalumu ya tukio.

NB:.
·         Kumbuka tunahudumia jamii yote, hivyo kufanya booking mapema ni muhimu.


CONTACTS:
          E-mail;   se_moro@yahoo.com
 Cellphones; +255 712 479 905 / +255 683 611 873 / +255 766 129 711

No comments:

Post a Comment